Mashabiki wa Edward Lowassa mmeyafikiria haya?

Mashabiki wa Edward Lowassa mmeyafikiria haya?

Davesto
Hongera kwa mtoa hoja. Tatizo la baadhi ya watu wa CHADEMA ni wavuta bangi. Hawaelewi kabisa kuwa CHADEMA ni waongo, wezi kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Yani tupo kwenye point of no return. All this shit doesnt matter anymore.
 
Andikeni Mambo Yote Mnayoweza Hata Ikibidi Jf Ijae, Cha Muhimu Ni Kuwa Tumeichoka CCM. Ukawa Yatosha
 
Nilitaka kushangaa! Mada nzuri kama hii watu wasiikejeli? Ingekuwa vizuri wangejibu kwa "point" badala ya "short cuts" ambazo wana JF hawatakiwi kufanya hivyo!
 
IHata mwalimu anapofundisha darasani kila mwanafunzi humwelewa kwa kiwango chake.
Kwa hiyo kama mnaona kutukana ndio jambo la msingi sintosita kuwachukulia nyie ni baadhi ya wale ambao hamjaielewa mada.Ipo siku nitaleta uchambuzi rahisi kwa level yenu ya uelewa ndugu zanguni.
 
Davesto

Mkuu hongera kwa hilo....nategemea hoja ndo zitaletwa kujibu ulichokisema.
Nimependa uchambuzi wako na ninatafakari upya juu ya kura yangu oct 25.
 
Last edited by a moderator:
Mganga aliyemtumia Lowasa ni kiboko.....yaani tuliokuwa tunamtukana leo tunadiriki kumfananisha na masihi.....kweli kuishi ni kuona Mengii.....
 
Upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana, elewa hivyo. Kama kuna namna fanya ili unusuru uwezo wako wa kutafakari masuala!

Kukusaidia, nakushauri fanya hivi:

1. Soma vitabu mbalimbali vyenye mrengo chanya, hasa vya ku break the rules! crack the codes!
2. Changamana na watu wanaokuzidi uwezo wa kutafakari!
3. Train yourself 'jifunzishe' mwenyewe kuangalia masuala kwa walau 3D!

Umezielewa hoja zake lakini?
 
Davesto

Uliyoyasema mkuu ni ukweli tupu....!
Lakini tatizo la Watanzania wana sifa zifuatazo;
  1. Hawataki kufikiri kama wewe ulivyofikiri.....
  2. Huwa wanapiga kura kabla ya kusikiliza sera za wagombea......
  3. Ni wasahaulifu sana.....
  4. Wanahitaji mabadiliko, na sio mageuzi.....
  5. Ni wabishi sana, ukiwaambia hii ni sumu watatamani waonje kuthibitisha kama kweli ni sumu....
Kwa hiyo elimu yako ni ngumu kuwaingia. Ila usichoke kuwaelimisha maana ni wajibu wako.....!
 
Mtoto aking'ang'ania wembe,mwache umkate.
 
Rais wetu ni LOWASA hayo maneno bakini nayo wenyewe mwisho wake mtamkubali tu
 
Alichofanya mleta uzi ni kubandika makala iliyochapishwa jana katika gazeti la propaganda la CCM la Raia Mwema. Kwanza ni makosa kikanuni kuficha chanzo cha habari kwenye jukwaa kama hili. Wachangiaji wengi wameiponda hii makala kwa sababu moja kuu. Watanzania walio wengi wamepigika kisawasawa chini ya utawala wa CCM na hasa hasa katika miaka kumi ya Kikwete. (Kuthibitisha hili angalia malengo ya maendeleo katika Millennium Development Goals, Mkukuta na Vision 2025 na ulinganishe na hali halisi). Anapokuja mtu na makala ya hovyo kama hii ambayo kiwaziwazi ina ujumbe wa kutetea mfumo uliopo uendelee (status quo) bila shaka waathirika wa huu mfumo hawatamuelewa.
 
Upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana, elewa hivyo. Kama kuna namna fanya ili unusuru uwezo wako wa kutafakari masuala!

Kukusaidia, nakushauri fanya hivi:

1. Soma vitabu mbalimbali vyenye mrengo chanya, hasa vya ku break the rules! crack the codes!
2. Changamana na watu wanaokuzidi uwezo wa kutafakari!
3. Train yourself 'jifunzishe' mwenyewe kuangalia masuala kwa walau 3D!
Hujaifanyia haki mada kwa kukosa majibu kwa postulates alizoweka .

Kumwambia afanye hiki na kile wakati wewe mwenyewe huna uwezo wa kufanya hivyo ni kama unapigia upatu utopianism.
 
Jamani wazee wa tuzo 1200 za Amani mpo?
 
Back
Top Bottom