Huku chelsea ikiichapa club iliyopo mkiani katika msimamo wa EPL sunderland 1 - chelsea 3 mashabiki wa chelsea wamewazomea wachezaji wao wakiwaita 'rats'.
Three rats wakiwa ni Diego, Hazard na Cesc wameongoza kwa kuzomewa zaidi kuliko wachezaji wengine. Hii inaonyesha wazi kuwa mashabiki wengi hawajakubaliana na kilichomtokea the special one!