mashabiki wa asernal wanadeka sana, hadi aibu..

mashabiki wa asernal wanadeka sana, hadi aibu..

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,910
Reaction score
63,591

​
Shabiki wa timu ya Arsenal, akibugujikwa na machozi baada ya timu yake hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa timu changa Wales Swansea.
mia ​
 
Masikini hadi namhurumia! Sasa ingeshinda angepata faida gani? Kwanza hakuna hata mchezaji mmoja anaemjua huyo jamaa! Angekuwa anaililia manyema kidogo ningemuunga mguu!!!!!!
 
huyu atakuwa amelipwa kuililia arse8 mana wale mashabiki wakongwe wameshazoea kufungwa na hawalii tena.
 
​
Shabiki wa timu ya Arsenal, akibugujikwa na machozi baada ya timu yake hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa timu changa Wales Swansea.
mia ​

Hahaaa kweli wanadeka bana
 
​
Shabiki wa timu ya Arsenal, akibugujikwa na machozi baada ya timu yake hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa timu changa Wales Swansea.
mia ​

pole sana ankoli Wacha1 ndio mpira huo..
 
Ni kweli kabisa washika bunduki kwa kudeka!!!! a5e71d5881ad4b7542620bfe5c5c7037.jpg
 
john-terry-crying2_782147c.jpgkumbe na huyu anadeka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom