Pale kwenye supu ya Yanga wamo Simba kibaooooo. Wengi wamevua jezi zao na kuvaa kawaida. Asikidanganye mtu bhanaa, Lete supu hapo uone mtakavyokanyagana. Kurejesha kwa wanachama na mashabiki wafia timu ni muhimu sana badala ya watu wachache kufaidika TU na timu. Eti timu inapeleka misaada kwa wenye uhitaji na kuwasahau mashabiki wao, ni uongozi bhana. Ama muuze hisa na kutoa gawio au muwape supu waambulie.Kila Mnyama anafuraha mnoo natamn iendelee hivhivi ila ndo hvo tena.
Walioiga Simba Day ni akina nani😆😆....nakumbuka zamani Yanga walikua wanawatania Simba "eti mtani naona upo kwenye sikuyako"Safi sana Yanga kwa ubunifu, Iko siku Simba wataliiga jambo
Naona kila mtu msemaji wa SimbaWewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa viingilio, kusafiri na timu, kulipia uwanachama, kulipia Yanga app, na kutembelea social media za timu. Mambo Yote haya yanamgharimu shabiki na mwanachama wa Yanga, Kuna ubaya gani club ikarejesha japo kidogo kwa watu wao hawa?
Hata mashabiki wa Simba wanatamani kwelikweli Ile supu lakini mo amekaza fuvu, anadai anapata hasara. Pesa wanazotumia Yanga kunywa supu ni Ile inayopatikana kwenye kitengo chao cha habari TU. Safi sana Yanga kwa ubunifu, Iko siku Simba wataliiga jambo hili. Shakini hawezi kutoka kapa mwanzo mwisho wakati anaona wako watu wananeemeka kwa kutumia jasho lao.
View: https://youtu.be/eIMS935Oiag?si=2HRXdlwd5Q8yFod8
Mo eti anaponda kuhusu supu hajui kwamba supu inaunganisha familia ya yanga, (jamii), Yanga sc soup day is there to strengthen the yanga familyWewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa viingilio, kusafiri na timu, kulipia uwanachama, kulipia Yanga app, na kutembelea social media za timu. Mambo Yote haya yanamgharimu shabiki na mwanachama wa Yanga, Kuna ubaya gani club ikarejesha japo kidogo kwa watu wao hawa?
Hata mashabiki wa Simba wanatamani kwelikweli Ile supu lakini mo amekaza fuvu, anadai anapata hasara. Pesa wanazotumia Yanga kunywa supu ni Ile inayopatikana kwenye kitengo chao cha habari TU. Safi sana Yanga kwa ubunifu, Iko siku Simba wataliiga jambo hili. Shakini hawezi kutoka kapa mwanzo mwisho wakati anaona wako watu wananeemeka kwa kutumia jasho lao.
View: https://youtu.be/eIMS935Oiag?si=2HRXdlwd5Q8yFod8
Walifanya Jana huko RwandaHivi siku ya azam lini
Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa viingilio, kusafiri na timu, kulipia uwanachama, kulipia Yanga app, na kutembelea social media za timu. Mambo Yote haya yanamgharimu shabiki na mwanachama wa Yanga, Kuna ubaya gani club ikarejesha japo kidogo kwa watu wao hawa?
Hata mashabiki wa Simba wanatamani kwelikweli Ile supu lakini mo amekaza fuvu, anadai anapata hasara. Pesa wanazotumia Yanga kunywa supu ni Ile inayopatikana kwenye kitengo chao cha habari TU. Safi sana Yanga kwa ubunifu, Iko siku Simba wataliiga jambo hili. Shakini hawezi kutoka kapa mwanzo mwisho wakati anaona wako watu wananeemeka kwa kutumia jasho lao.
View: https://youtu.be/eIMS935Oiag?si=2HRXdlwd5Q8yFod8
Anawafanya wajinga wanasimba. Yeye ananenepa na mashabiki wanakonda. Mwanachama anunue jezi, tiketi, bando na kuishangilia timu lakini asiambulie hata maji ya kunywa. Yanga wako sahihi sana, Tena waifanye ya kudumu Kila mwaka kuwe na siku ya kunywa supu pale makao makuu na matawi yanayoonhoza kulipa ada zao na kununua jezi.Mo eti anaponda kuhusu supu hajui kwamba supu inaunganisha familia ya yanga, (jamii), Yanga sc soup day is there to strengthen the yanga family
Inachanganywa na kinyesi kikavu Cha binadamu lengo kuwazubaisha wananchi.Mnakunywa hamjuini kafara za GSM humosupu zimunuiwa kuwa wajinga na wafia timu
Supu nayo ni ya kuifungia safari toka Kivule hadi Jangwani, kama sio upumbavu?Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa viingilio, kusafiri na timu, kulipia uwanachama, kulipia Yanga app, na kutembelea social media za timu. Mambo Yote haya yanamgharimu shabiki na mwanachama wa Yanga, Kuna ubaya gani club ikarejesha japo kidogo kwa watu wao hawa?