Mashabiki Simba Hamlioni hili?

mkolaj

JF-Expert Member
Mar 24, 2014
3,020
1,087
Siku hizi kwenye kumbi za kuonyeshea mipira hazina mvuto tena, mikia imesusa kuangalia mpira. Ila ajabu wao ndio wa kwanza kulalamika kuwa Yanga inabebwa. Sijui kwann akili zao haziwaambii na kuaaminisha kuwa timu yao ni dhaifu ili wakati wa usajili wawe makini. Tabia hii ya mashabiki wa Simba kulalama kuwa Yanga inabebwa ndio nafasi wanayoitumia Viongoz wao kufanya usajili mbovu.

Na Hans Poppe kwa kucheza na akili ya Mashabiki hao wanaolalama kuwa Yanga inabebwa jana nae kupitia vyombo vya habari akaongea hivyo hivyo ili mashabiki wa Simba waendelee kuamini kuwa Yanga haina kikosi bora kuliko cha Simba ila wanashinda mechi zao kwa kubebwa ilihali ukweli unaonekana wa utofauti wa vikosi hivi viwili kati ya kile cha YANGA na kile cha SIMBA.

Ila siku wakija kugundua hili nadhani haya malalamiko yataisha. Naamini kwa upana na ubora wa kikosi cha Yanga, wachezaji wangekuwa wanajituma ipasavyo kwa kila mechi hata kwa nusu tu ya vile walivyocheza kule Alexandria leo hii tungekuwa tayari tumeshatangazwa mabingwa wapya wa msimu huu.

Tuna Ngoma, Tambwe, Nonga, Msuva, Busungu, huku Kaseke katikati kuna Niyonzima, Kamusoko na Mbuyu WHY usiwe Bingwa Eti timu yako Unamtegemea Mgosi alete Mabadiliko kwenye timu huu si Utani? Mpira sio Taarabu kuwa kwenye jukwaa utabebwa na Jina,. Watani jipangane kwa vitendo na sio kwa maneno.
 
akikosekana mwinyi kazimoto Tu Kwisha wanakua kama wanacheza rugby,akikosekana kiiza eti kiongera,hivi yule mchezaji wao mrefuu wanamkumbuka kwenye dar dabi akaja na viatu vya ndondo tehteh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom