Amka kutoka usingizini mkuu. Cha kuua hapo ni mahusiano tuYaan kuoa singo maza mtihani sana,kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano mwaka sasa na ananipenda kweli ila ni singo mama!!!
Yan kuna muda huwa nawaza nimuuwe jamaa au nimuuwe mtoto...pengine labda nimteme
Dah wewe ni mpumbavu sana.Yaan kuoa singo maza mtihani sana,kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano mwaka sasa na ananipenda kweli ila ni singo mama!!!
Yan kuna muda huwa nawaza nimuuwe jamaa au nimuuwe mtoto...pengine labda nimteme
Kuna Mshikaji Jana nilikutana naye akawa ananisimulia kama ulivyoandika hapa au ndio Wewe ? Yeye ni dereva wa transit na demu kabeba kila kitu kakimbilia kwao Mwanza huko. 🤔Mambo vipi.
Masela wasome hii watapata kitu
Kuna mwana hapa mtaani ana mwanamke wanaishi pamoja kama miaka miaka mitatu sasa. Wana mtoto mmoja wa miaka miwili. Ila mwanamke alishawai kuwa na mtoto na mtu mwingine kabla ya mchizi.
Ila hawaishi na huyo mtoto yupo kwa bibi ake uswahilini huko
Miaka yote hiyo Mwanamke alikuwa fresh tu ila akaanza mizinguo kama miezi 6 iliyopita. Kunaa muda hataki kumpa jamaa tendo, kawa jeuri mpaka anamtukana mchizi sometimes.
Sasa mchizi akawa anaenda kwa ndugu wanasuluhisha haipiti week mambo yanajirudia.
Mwisho wa siku jamaa ikabidi aanze uchunguzi ajue ni nini hasa kinasababisha hayo yote..
Akaja kugundua wife ana simu mbili, moja huwa anaiacha kwa jirani shoga yake wanawasiliana na baba mtoto wake mapenzi motomoto wanataka kurudiana.
Jamaa akamwambia wife aende kwao atamfata azungumze na wazazi wake akaenda zake job. Kurudi usiku kakuta wife kasafisha nyumba kaondoka na kila kitu, mchizi kwenda nyumbani kwao mwanamke hawampi ushirikiano wowote na hawataki arudiane tena na mtoto wao na kaambiwa ata mtoto siyo wake.
Jamaa anapitia wakati mgumu sana ila kaamua tu kuanza moja maisha mengine yaendelee.
Kweli hatuwezi kufanana mkuu mimi mpumbavu sana,nakubaliDah wewe ni mpumbavu sana.
Labda mpaka uoneshwe kaburi la huyo mwanaumeUkioa single mother, wewe ni chaguo la pili.
Kuna mtu akisoma ulichokiandika anaweza kusema ww n mpumbavu ila mm binafsi nakuelewa mnoYaan kuoa singo maza mtihani sana, kuna mwanamke nipo naye kwenye mahusiano mwaka sasa na ananipenda kweli ila ni singo mama!!
Yaani kuna muda huwa nawaza nimuuwe jamaa au nimuuwe mtoto, pengine labda nimteme
Acha ushamba wa kutaka kujuana humu. Changia uzi sepaKuna Mshikaji Jana nilikutana naye akawa ananisimulia kama ulivyoandika hapa au ndio Wewe ? Yeye ni dereva wa transit na demu kabeba kila kitu kakimbilia kwao Mwanza huko. 🤔
Wakati mnaanza malove davi anakuwa wa ukweli sana na kumkandia mshikaji. Uongo mwingi kwamba hawana mawasiliano hata hajui yupo wapi. Ngoja sasa ujichanganye. Kuna mmoja watoto wetu walikuwa wanasoma shule moja. akanipanga hajui kabisa jamaa yupo wapi.Ukioa single mother, wewe ni chaguo la pili.
Sitaki hata kumjua mtu humu ila alichokiandika ni sawa na simulizi niliyosimuliwa juzi jioni.Acha ushamba wa kutaka kujuana humu. Changia uzi sepa