Masare ITV unaboa sana

Acha usengerema, maelezo aloyatoa alikuwa anahojiwa na msomaji wa taarifa ya habari Mara baada ya Massare kumaliza kusoma habari.
Shangaa sasa hivi watu kazi yao huwa ni kuboreka tuuu??? Hajaona zuri lake??
 
Massage unaboa, hiyo ni taarifa ya habari sio michezo. Unapaswa kuongea in summary tu, Ku sumup taarifa ya habari. Sio wote ni wanamichezo. Sasa baada ya habari, mnajadili kama spoti leo. Please jirekebisha, unaboa. Na siyo Mara moja
Masare ni mtangazaji mzuri sana wa michezo. Naweza kusema, kuliko television zote. Ila kwenye taarifa ya habari ajitahidi kusummarize kidogo. Otherwise, inakuwa shida. I don't have problems with him, he is talented, young, enthusiastic. Yuko vizuri sana kwenye sports.
 
Shangaa sasa hivi watu kazi yao huwa ni kuboreka tuuu??? Hajaona zuri lake??
No. To me he is arguably the best Sports TV commentator. Hilo halina shaka. My only problem, ni kwamba kwenye news, baada ya habari zote including michezo, I don't see the need of spending more than five minutes discussing about whatever has already been mentioned on the sports news. A brief summary, would simply be enough.
 
halafu habari za michezo ITV huwa sijui wakoje, inaweza kuwa kuna tukio kubwa la kimichezo kitaifa leo au kimatifa lakini usione chochote, na hata wakionyesha hawaonyeshi magoli , bora STARTV ingawa nao ni kama hawana fundi mitambo wanakata kata ovyo matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…