Masanza: Hata sisi Singida Bs, Simba ni my wetu

Masanza: Hata sisi Singida Bs, Simba ni my wetu

Mkui
“Hatuwezi kuogopa kucheza na Yanga kisa walimgunga Simba, huyo Simba hata sisi ni my wetu maana tulimfunga nyingi kuliko hata Yanga”____Afisa Habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza akizungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga[emoji3578]

#kitengeSports

Namna Gani pale Simba ana ng'ang'aniwa[emoji3][emoji3]View attachment 3387816

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu labani heshima kitu cha bure mdogo wangu
 
Back
Top Bottom