Masanza: Hata sisi Singida Bs, Simba ni my wetu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,855
Reaction score
32,657
“Hatuwezi kuogopa kucheza na Yanga kisa walimgunga Simba, huyo Simba hata sisi ni my wetu maana tulimfunga nyingi kuliko hata Yanga”____Afisa Habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza akizungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga

#kitengeSports

Namna Gani pale Simba ana ng'ang'aniwa
Screenshot_20250628-213534.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba kasema singida ni X wake, tena hiyo ndoa na singida haitambui sababu ilifungwa uchochoroni, simba ana mume mpya mjini,
Na ndoa imefungwa hadharani tarehe 25 ya mwezi huu pale BENJAMIN MKAPA STADIUM, ndoa halali kabisa imefungishwa na ma_sheikh kutoka misri.
Singida nae anataka jimbo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
“Hatuwezi kuogopa kucheza na Yanga kisa walimgunga Simba, huyo Simba hata sisi ni my wetu maana tulimfunga nyingi kuliko hata Yanga”____Afisa Habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza akizungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga

#kitengeSports

Namna Gani pale Simba ana ng'ang'aniwaView attachment 3387816

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
My wetu....dah.
 
Simba kasema singida ni X wake, tena hiyo ndoa na singida haitambui sababu ilifungwa uchochoroni, simba ana mume mpya mjini,
Na ndoa imefungwa hadharani tarehe 25 ya mwezi huu pale BENJAMIN MKAPA STADIUM, ndoa halali kabisa imefungishwa na ma_sheikh kutoka misri.
Haha 🤣 🤣 haaaaaaaaaaaa....
 
Back
Top Bottom