Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

naomba wote mnaochangia hapa muwe wazalendo,tukubaliane kwamba ndege ilijaa sana siku hiyo hapo ilikuwa kbla ya kupaa.
 
KWELI ,WEWE UTAKUWA GENIUS,ILA NIMEPATA UPDATE HAPA.NDEGE ILIJAA SIKU HIYO KUMBE ILIKUWA HAIJAPAA,FULL SEAT BWANA,SERIKALI HAIPATAGI HASARA
Iwe ilijaa au haikujaa wewe haikuhusu as long as hupendi taifa lako liwe na ndege kausha broo wanaotaka taifa liwe nazo acha wafanye yao.
Nakumbuka kipindi kile mnachora njiwa mnaziita Air Tanzania kukejeli Serikali inunue ndege za shirika, ila leo serikali imenunua mnaleta lomoni waTanzania wanafiki sana
 
Kama Magufuli mwenyewe alifuta ajira za walimu na madaktari na sasa kwa kujishaua katoa ajira za walimu 4547 kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015-2017. Na wahitimu wenyewe wapo zaidi ya laki 2. Unafikiri naye ni mzalendo? Siyo lazima ajiri ila tusipangiane maisha. Mwenyewe naomba hata zilipuke hizo ndege kwasbb watu wanamaliza kwenye kada ya ualimu na madaktari lkn jamaa mmoja anafuta hizo ajira. Masanja kapost hiyo picha naye mnamuita siyo mzalendo vipi kuhusu mwenyekiti wenu waccm?
Mm huwa nawashangaa sana watu wanang'ang'ania uzalendo hata hawajui maana yake. Huyo mzalendo anamlipia nauli Masanja?
 
umeona kaka?wapinzani mafala sana,ndiyo maana ndege tumeweka slogan ya ccm hapa kazi tu,hata siku ile tunapokea ndege tuliimba magufuli kiboooko yaooo jamaa anaua upinzani si unaona hata mbowe yupo ndani na wameufyata?hakuna cha nyokonyoko wala nini,na bado watakoma ndege nyingine zitaongezwa,watajibebaaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaa hatari sana ila usiwaze 2020 tunafuta hiyo slogan yao tunaandika M4C au vipi?? Mbowe atatoka tu usiwaze hata Mandela alifungwa ila alipotoka akawa presidaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Saa nyingine tuwe na aibu, hata kama umeamua kutetea upande wako basi tumia akili hata kidogo. Ukiangalia hiyo picha, kuna watu wengine wamekaa ndani ya ndege na mhudumu pia. Kwa akili yako fupi na uongo wa kitoto are they likely getting in or getting out?
 
Ghalama zao ni juu Sana tofauti na fast jet sio rais kuwa na abiria wengi ivo ni fundisho kwa serekali ya jiwe kujirekebisha tusifanye Mambo kwa kuwakomoa wapinzani au watu Fulani kwa masilahi ya chama lazima tuwe wazalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unasema kakosa uzalendo, kwani yeye ndiye kakataza watu wasipakie na kusafiri na hiyo ndege?
 


Marufuku kupiga picha ukiwa ndani ya Ndege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…