Dola inakosea sana kuendelea kuruhusu utitiri wa huduma za kiroho zinazotolewa na wahudumu wasiyoelewa madhara ya huduma zao kwa jamii.
Tunaharibu jamii kwa makusudi.
Kwa ulimwengu ulivyo kwa sasa, tunatarajia uwepo wa vituo vingi vya 'huduma za ushauri nasaha.'