nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Dec 27, 2012 #21 huyu mchange amekuwa kama bodyguard wa zitto..especially wanapoenda kuroga
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 298 Dec 27, 2012 #22 Kadri siku zinavyokwenda thamani ya URAIS inazidi kushuka sana Tanzania. Kila mtu anaota kuwa anaweza kuwa rais
Kadri siku zinavyokwenda thamani ya URAIS inazidi kushuka sana Tanzania. Kila mtu anaota kuwa anaweza kuwa rais
mmbangifingi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 2,839 Reaction score 567 Dec 28, 2012 #23 nyabhingi said: huyu mchange amekuwa kama bodyguard wa zitto..especially wanapoenda kuroga Click to expand... Mchange ndo yupi hapo mkuu?
nyabhingi said: huyu mchange amekuwa kama bodyguard wa zitto..especially wanapoenda kuroga Click to expand... Mchange ndo yupi hapo mkuu?
kanga JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 1,025 Reaction score 494 Dec 28, 2012 #24 Nasolwa said: Kadri siku zinavyokwenda thamani ya URAIS inazidi kushuka sana Tanzania. Kila mtu anaota kuwa anaweza kuwa rais Click to expand... Aliyeshusha thamni ya urais TZ ni chama cha madalai kupitia JK too dhaifu too weak kiasi kwamba sasa hata watoto wa chei chei shangazi nao wanaomba kugombea urais. shame on CCM
Nasolwa said: Kadri siku zinavyokwenda thamani ya URAIS inazidi kushuka sana Tanzania. Kila mtu anaota kuwa anaweza kuwa rais Click to expand... Aliyeshusha thamni ya urais TZ ni chama cha madalai kupitia JK too dhaifu too weak kiasi kwamba sasa hata watoto wa chei chei shangazi nao wanaomba kugombea urais. shame on CCM
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Dec 28, 2012 #25 mmbangifingi said: Mchange ndo yupi hapo mkuu? Click to expand... huyo anayechungulia mgongo wa zitto..
mmbangifingi said: Mchange ndo yupi hapo mkuu? Click to expand... huyo anayechungulia mgongo wa zitto..