Jamani naombeni mtupie picha za masalia leo ndo naona picha ya mchange tunaomba za masalia wengine jamani tuwafahamu pia ya kamanda mzalendo kiboko ya wasaliti mwana fbi mtanzania ben tumfahamu
tupieni picha zao wanajamvi hata kwa kuzianzishia threats ladies first anzeni wa kwanza juliana then wengine
Siasa mbaya za chuki,kupakana matope ni siasa ambazo inabidi tusali ili kama ni pepo litupitie mbali. Maana nguvu mnazotumia kumshambulia Zitto nawaza mtakapofanikiwa atafata nani???
Yule mwenye kiremba kama vile anasema "Zitto utakapokuwa raisi, ukanipa huo uenyekiti wa Bavicha taifa, Dr Slaa na wale wanoko wote nitawafanya waache uanachama CHADEMA. sUBIRI UTAONA"