Siku zote mwenye fedha hapendi violence , sababu ana mengi ya ku loose kama akiendekeza violence, hao wenye pesa za kuunga unga ndio wenye tatizo , huku Ushuanikwenye upepo unapo vuma kwa wajanja wa ukweli , hatuna violence ni amani na usalama ndio mana hatufungi milango usiku , hakuna wezi wala vibaka .Jiulize unapo lala usiku unafunga komeo ngapi, huku sisi tuna ving'ora vya Ultimate Security just incase kuna vibaka, ambao hatujawahi waona .