Masai ya rero

Masai ya rero

Du! mmasai kwelii anakatika!! ngoma zao huwa hawapindi hata kidole wima wima leo inabidi achutame! kweli hata ukiwa mmasai, ukitaka cha "uvunguni"....
 
Ndio disco limevamiwa na mmasai....rungu na sime mkanyage hata bahati mbaya...!!!
 
Back
Top Bottom