Masai na punda wake...

Masai na punda wake...

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
Maasai alishangaa kuona magari yakitiwa petroli kituoni, akaamini mafuta hufanya gari liende kasi. Akapeleka punda wake, akamuinua mkia akisema, "Weka yeye ya 200/- akimbie"
Punda kuhisi kidude mwilini, akatimka mbio. Maasai akamkimbiza lakinihakumshika.
Akarudi kituoni akainua shuka, akainama na kunena, "Ero, weka mimi ya 500/- nikimbise punda yangu"


 
duh masai kila siku wao ndo wanaongoza kwa vituko ambavyo havijatokea karne za kina Nuhu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom