Masai na kesi ya simu

Pwembweleo

Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Siku moja huko maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro wamasai waliiba simu ya mmoja wa wahifadhi wakaondoka nayo. Mhusika alipokuwa anaitafuta simu akawa anabip bila kupokelewa. Siku iliyofuata akawakamata wamasi wawili wakiwa na simu hiyo na kuwapeleka mahakani. Hakimu alipouliza ni kweli mlitenda kosa hilo moja akajibu kuwa ni kweli ameiba simu na kuongeza kuwa mwenyewe ndiyo afungwe kwa sababu hii kitu ilisumbua mimi usiku sikupata usingizi hata kidogo. Ikabidi masai aende jela baada ya kukiri kosa mwenyewe
 
Mfalme juha wa nchi ya kichaa wamjua weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…