mshana jr huyo dada kama angekuwa anatafutwa hiyo picha isingesaidia kumtambua? Inawezekana ikawa simple sana kuweka picha kama hiyo, lakini hatujui binti wa watu atapata shida gani anapofanya mabadiriko au hata utani atakaoupata kila siku kutoka kwa watu wanaomzunguka. Sitarajii kama angekuwa dada wa mwanzisha thread angeweza kumposti humu, kwa maana sio vizuri. Ila kwa sababu hawana uhusiano, haijawa tabu kuirusha.