Masai dada akienda kuripoti chuo

Nywele hana ukimuuliza atasema ametoka JKT juz!!!!
Sasa mtafute baada ya semester ya kwanza sket hazna nafasi kwake!!!!!
 
Baada ya wiki mbili tu we mtafute utaona atakavyokuwa kabadilika.
 
masai dada kapendeza kweli ila mabibo panaenda kumchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…