Masai Culture, love it

Maendeleo yapi tena wakati ushaona shower hiyo, na ina option ya hot n cold water.
 
kuna watu wakipata vielimu kidogo wanajifanya wazungu sasa hapo unachopinga nini kila watu na mila zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…