Masai Club ipo Kinondoni sehemu gani?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wana JF,
Masai Club ipo kinondoni sehemu gani nikiwa natokea Mbagala kwa gari za Makumbusho au Kawe? Nisaidie ramani/pa kushukia.
 
Iko kama unaelekea mwananyamala mwinjuma road,Masai club iko opposite na bank ya akiba kinondoni branch....
 
Back
Top Bottom