Masai aliibiwa simu kwenye daladala, akaanza kutoa onyo kwa abiria:-
MASAI: Jamani alieiba simu yangu arudishe haraka kabla sijafanya kitu kama nilichofanya nilipoibiwa simu yakwanza.
KONDAKTA: kwa ustaarabu "Jamani alieiba hyo simu arudishe basi".
MWIZI: kwaaibu "Bro simu yako hii hapa"
KONDAKTA: "Kwani bro ulivoibiwa marayakwanza ulifanyaje??"
MASAI:"Nililiaaaweeeeee."