Masafa ya Redio za FM, Dar es Salaam!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Kama hujapata mabadiliko ya masafa ya Redio za FM hapa Dar es Salaam hizi ni frequency mpya za radio:

Thanks, asubuhi ya leo nimepata shida kidogo kuikamata RFA kwakuwa asubuhi napenda kuisikiliza.
 
Asante mkuu, maana leo ilikuwa tabu tupu kupata hizi redio.
 
Thanks for sharing thou sio msikilizaji sana wa Radio.
 
Asante mkuu Bampami, leo asubuhi 'tuongezee magazeti' ya rfa nimeimiss
 
Asante mkuu Bampami, leo asubuhi 'tuongezee magazeti' ya rfa nimeimiss

okey ntalitendea kazi. Karibu xma$ mi ntakuwa home pekeyangu kila kitu tayari kishaandaliwa ni wewe tu.
 
Bampami au mwingine yeyote anayejua, frequency ya sasa Kiss FM Dar ni ipi? Ya zaman yaani 89.3 inatumiwa na ndg za wa FRA ka mujibu ya maagizo ya TCRA so sijui frequency mpya.
 
mmm zote hizo..... mbona had kichwa kitauma....
 
mmm zote hizo..... mbona had kichwa kitauma....

Too confusing, ukienda mikoa mingine au kanda nyingine nako kariri upya, hivi hakuna namna ya kuzi-merge zikawa the same country-wide, maana kwa namna zilivyo lazima uwe na kijidaftari

Magic FM wametumia magic kutobadilishiwa
 
Pagumu.... bora ingekuwa n countywide......

Lkn mikoan tunapata 2 au 1 tu.....
 
TBC Taifa, redio ya Serikali, redio pekee ambayo haijafuata mkumbo wa 'modern journalism'!

hahaha!! kumbe hiyo! hivi inapatikana kwenye redio zote? maana nahisi kwangu haikamati
 
hahaha!! kumbe hiyo! hivi inapatikana kwenye redio zote? maana nahisi kwangu haikamati

TBC mikoani inakamata fresh kabisa, kuliko redio ingine yoyote, ila kwa Darisalama hakuna maajabu, sijui kwanini. Hata wakati ule tuko analojia TV ya Taifa ilikuwa inapatikana vema mikoani kuliko Dar, ilikuwa chenga tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…