Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Ina RAM ya ukubwa gani na processor je ipoje?
Ina 2.5gb na 3.0GHz. Pentium D
There is high chances kuwa processor inachemka ndo maana
Hapa inawezekana
Fan imejaa vumbi hivyo haifany kazi yake vizuri
Heatsink kwenye processor imeisha
Computer ni ya zamani sana so motherboard ishachoka
Yap anunue nyinginesolution go and check for another pc au sio mkuu..