Masada jinsi ya ku-install new version Apps katika old iOS version

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
Nimekuwa nikitumia Apple iPhone 3g kwa muda sasa.sasa nimehitaji kuweka application ya Jf na nyimginezo inagoma ikisema os ni yazamani yaani ni 4.1 na inatakiwa niwe na version zaidi ya hiyo( new version).
1.Masada wenu Kama kuna njia ya kuweka old apps Au
ku-update ios( njia iliyo salama)
2.ni matatizo yapi yanaweza kunikumba katika njia mobili hizo?

Natanguliza shukrani katika mawazo yenu

By
Kibwagizo using JamiiForum
 
Tafuta mtu wa kumuuzia mapema hiyo simu, 3G inaishia kwenye IOS 4.2.1 ambayo ushatemwa na applications nyingi,,
 
Jaribu ku-update to at least iOS 4.3.3, Apple offers a way to install "last compatible version" of the application and most apps will work with at least iOS 4.3.3.
 
Shukrani kaka, ila kama kampuni ya Apple ndo wanafanya hivyo wanakosea ,yaani ios ya simu yako ikipitwa muda unatupa duh!!! Mbona Android hatuoni kitu kama hicho.apps ndo inabadilika version ila os ya simu haubadilishi hata pc hivyo hivyo
 
Shukrani ngoja nijaribu.Ila sina uzoefu na ku-update iphone,nahofia risk
 
Jaribu ku-update to at least iOS 4.3.3, Apple offers a way to install "last compatible version" of the application and most apps will work with at least iOS 4.3.3.
iPhone 3G haifiki ios 4.3.3, inaishia ios 4.2.1 kama alivyosema mdau hapo juu..
Shukrani kaka, ila kama kampuni ya Apple ndo wanafanya hivyo wanakosea ,yaani ios ya simu yako ikipitwa muda unatupa duh!!! Mbona Android hatuoni kitu kama hicho.apps ndo inabadilika version ila os ya simu haubadilishi hata pc hivyo hivyo
Nadhani ni strategy ambayo Apple imewawekea Developers wa IOS apps, kwamba wafanye updates za hizo applications ili kupata stable apps ambazo zinasaidiwa pia na performance na uwezo wa simu. hivyo simu zenye uwezo mkubwa kwenye processor, ram etc zinakuwa na IOS version za juu zaidi. ila nadhani kuna baadhi ya apps zinakubali kudownload version ya zamani inayoendana na ios version yako, although most apps zinataka atleast ios 4.3.3
 
Back
Top Bottom