Masaburi Fashion SHOW...

Huyo dada alolala mchangani hapo....asije akaparamiwa.
 
Huyo dada alolala mchangani amekumbwa na tatizo wewe unasema ni fashen?
 
huyo kwenye mchanga mbona kama jini mahaba la pwani
 
Huyu msanii aliyekusanya mchanga mpaka ukawa na umbo la binti ni NOMAAAAAAAAAAAAAAAAA!.
 
Duh, kumbe kweli eeeh kuwa Kuna watanzania wana "maumbile" makubwa sana kwahio sio sahihi kuvaa kanga ndembendembe ( Mama Lwakatare)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…