masaada wana FJ

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
nafanya installation ya window 7 ultimate kweny laptop aina ya HP Pavailion dv3 inamaliza vizuri mpaka mwisho ila pana tatizo moja graphics au maandishi yanakuwa makubwa inakuwa kama driver za vga hamna nime jaribu Vista inagoma kuistall naombeni msaada wakuu cha kufanya ni nini?
 
wana FJ ndo watu gani mkuu.nieleweshe.
 
Subiri kwanza imalize kuwa installed,baada ya hapo nadhani ni vyema uka update hiyo window na nina hakika kila kitu kilichomiss kitapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…