Masaada jamani...!!

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
Mwenzenu nimekuwa nasumbuliwa na maralia mara kwa mara japo huwa nalala na net na pia chumba huwa napulizia net yani kwangu haiwezi kupita hata wiki 6 bila kuuguwa
 
Subiri kidogo wataalamu wa hayo maradhi saa hizi wana njaa wakishapata Lunch wataanza kukumwagia mavituz,pole.
 
ndio maana kila nikienda hospitali huwa na desturi ya kupima magonjwa yote ila huwa na kutwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…