Maryam Ahmed Salim - MD, World Bank Albania

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,080
10,041
Ms. Maryam Salim is the new Country Manager of the World Bank for Albania. Ms. Salim has around twenty years of experience in the World Bank, during which she has led a number of Program and Policy reform initiatives.

Prior to this position, Ms. Salim was Advisor in the Office of the Chief Executive Officer and Senior Vice President for Operations. She worked also as Operations Advisor and Program Leader for Investment Project Financing. Ms. Salim joined the Bank as a Young Professional in 1998 and has worked in health and social protection programs in the Africa, Europe and Central Asia, and East Asia and Pacific Regions.

A Tanzanian national, she holds a Masters in International Economics and International Relations from the John Hopkins University, Paul H. Nitze School of Advanced Studies and a Juris Doctor from Georgetown University.
 
Ni mtoto wa Salim Ahmed salim? Inaonesha hajawahi soma wala fanya kazi nchini.Ok.Its good to her and to our country.
Hawa ndo magufuli angekuwa anawafanya kuwa washauri wake wa uchumi nadhani angeachana na Miradi bubu ya wazalendo wanyonge.
Tunahangaika kutafuta pesa ya SGR kumbe Kuna mtoto wa baba jikoni, tungemshirikisha mapema tusingetupa pesa yetu kujenga godown la machinjio vingunguti kwa pesa ya kununua ndege mpya
 
Ni mtoto wa Salim Ahmed salim? Inaonesha hajawahi soma wala fanya kazi nchini.Ok.Its good to her and to our country.
Hawa ndo magufuli angekuwa anawafanya kuwa washauri wake wa uchumi nadhani angeachana na Miradi bubu ya wazalendo wanyonge.


Mmh?
 
Ni muda mwafaka wakumtumia huyu msomi mbobezi
Wasomi wabobezi wako makundi mawili kuna wale wanaoandaliwa kwa ajili ya kuisaidia Dunia kimataifa kwa kusomeshwa shule za kimataifa kama English medium , international schools na vyuo vya kimataifa nk kama huyu.Na kuna wale wanaoandaliwa kwa ajili ya nchi tu kama wanaosoma Shule za kata,w anaofanya mitihani ya bodi ya kitaifa kama CPA,Tanzania Law school,nk.
Ukiwachanganya mara nyingi huleta shida kidogo.Wanaofaidisha Dunia tuache waendelee .Dunia inawahitaji kuliko nchi .Wako beyond boarders.

Ndio maana usishangae kuona serikali Kila ikitangaza elimu bure kuna wazazi wako tayari kuuza hata Mali walizonazo watoto wasome English medium au international school sababu wanawaandaa watoto kwa soko la ajira la kimataifa.Hawalengi la ndani tu.Unakuta mzazi mama ntilie lakini mwanae anasomesha English medium.
 
Sio wajeuri wanaogopwa na wanaume.Wewe umesoma shule ya kata hivi unaanzaje kumtongoza Mariam Ahmed Salim.,? Au wewe dereva bodaboda utakutana naye wapi?
Mkuu hata hao wa huko huko anaofanya nao kazi pia wanamuogopa? Itakuwa haoleki huyo kama kweli hajaolewa mpk mda huu.
 
Mkuu hata hao wa huko huko anaofanya nao kazi pia wanamuogopa? Itakuwa haoleki huyo kama kweli hajaolewa mpk mda huu.
Wazungu wengi Huwa hawana mpango wa kuoa au kuolewa . Sababu anafanya kazi na wazungu watakuwa wameshamwambukiza hiyo tabia.Anaona kuolewa si kitu cha maana sana.Enviroment Ina tabia ya kumbadilisha Mtu.Reginald Mengi kafariki hajaacha hatm mjukuu umoja na mipesa yake yote .Wanawe wakekaa kizungu zungu wanaona kuzaa au kuoa au kuolewa sio kitu muhimu.Uzungu zungu ukizidi madhara yake ndio hayo.
 
Back
Top Bottom