Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi Tanzania UWT, Mary Chatanda ameweka msisitizo kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa viongozi ambapo amesema UWT itawalinda wagombea wake dhidi ya ukatili huo hususani Rais Samia
Hata hivyo amewataka wananchi nchini kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya ccm na serikali kwa ujumla
Hata hivyo amewataka wananchi nchini kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya ccm na serikali kwa ujumla