Marvel Phase 4 Timeline imetoka tuisubiri mpaka 2020 on cinema!.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
Hatimaye baada ya Homecoming jamaa wameachia Timeline ya project zao zinazofata!. Tutaanza purukushani za Cinema mwaka ujao (2020) mwaka huu unapita.
Tuliokuwa tukiisubiri Guardians of The Galaxy Vol. 3 imekula kwetu!.
IMG-20190721-WA0002.jpg

IMG-20190721-WA0003.jpg
 
Ila mwaka huu tujiandae kwa GOT 3, Black Panther2 na Doctor Strange 2.
No mzee baba! Mwakani ndio inatoka Black Widow then Doctor Strange.. GOT itakua mbali huko 2021. Afu hizo Wanda n Vision,Loki zitakua series..
I'm so excited with Shang Chi na The Eternal
 
me naitaka GOT 3 tu hizi nyingine labda kama zitakuwa fun ila GOT siwachoki na hivi Thor nae kajiunga nao!.
 
Yeah wako fun Sana hasa wakiwa na Thor.. BTW Ragnarok ndo yanifurahisha mno hasa pale kwa Grandfather, Eti..
"Pay this lady"
"I wanna look closer, Can you take me look closer? Thank you
"Sparkle here's deal, if you wanna go back to your ass place, Assgard..
 
Thanos anakuzwa bwana.. japo aliwapa tabu sana
So far Powerful being in MCU ni Cap Marvel lakini uliona alichofanywa:D.
Thanos ni kizazi kilichopotea cha Eternals, ngoja tuisubiri movie yao halafu Angelina jolie yupo ndani!..
 
Kiukweli sijapenda kabisa kumuweka Angelina Jolie, wangetuwekea mtu anbae age haijaenda au sio maarufu Sana.. wangeweka Kama Tesa tompson, Zendaya,Brie Larson,Etc
 
Eternals ni kizazi kilichopotea sasa kuwaweka hao wadogo naona isingependeza!!..
Mfano RDJ kawasumbua sana kumtoa kwenye franchise ya Iron Man!. Na ndio maana hata Spider ilibidi ifanyiwe reboot ili actor mwenye umri mdogo aweze kuingia!.
Halafu Brie ni cap marvel so ameshapata franchise yake!..
 
Sawa.. Ila ningependa Shang chi ichezwe na actor was kichina pia na mazingira yake.
Marvel ndio Hollywood yenyewe asee.. imagine in 3 month Avenger imevunja rekodi zoteee, Naona Dark Phoenix imebuma.
 
hivi kumbe endgame kashamtoa avatar maana alibakiza kidogo sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom