Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Kuanzia leo tarehe 1 Ndio mwisho wa kuuzwa viroba au kusambaza bidhaa Ile
Na ataekamatwa na kiroba faini ni elfu 50 na miezi 3 gerezani,
Hapa wale ndugu zetu naona neema inazidi kuwashukia, toka dili la madawa ya kulevya lililopoingia walifanya kweli walifanya kazi mpaka kuwabambikizia watu madawa mradi tu wapate chochote,
Arusha kuliripotiwa kisa kama hicho,
Sasa hili la viroba naimani wenye maduka ya mtaani watalia sana, na wengine mtaani tujiandae tu,
Mpaka sasa naamini viroba vilivyopo mtaani ni vingi sana kuzidi vilivyopo kiwandani,
Polisi tumieni taaluma yenu ipasavyo sio kutaka kuwaumiza raia bila sababu