Marufuku kupeperusha bendera za chama Morogoro

Marufuku kupeperusha bendera za chama Morogoro

Inategemea wilaya gani ya Morogoro,kama mjini ni Abood
wabunge jamii ya Abood sielewi michango yao bungeni wanawasilishaga wapi..maana hata kuwasikia tu ni kazi labda kwenye harambee za magamba.
 
wabunge jamii ya Abood sielewi michango yao bungeni wanawasilishaga wapi..maana hata kuwasikia tu ni kazi labda kwenye harambee za magamba.

Ni kweli kabisa mkuu,yaani huyu jamaha sijawahi kumsikia hata siku moja,kuna haja ya mtu makini kuandaliwa kupambana na kumuondoa huyu Abood 2015
 
Jipangeni hiku kwangu home kuna bendera nane ns hakuna wa kuniuliza hapa mwanza ........malaya hawa....maku
Ungeelewa mada kwanza ndipo ukurupuke kujibu. Imekatazwa kuweka bendera ndani ya manispaa ya morogoro na si ofisi za manispaa. Kwa lugha nyepesi kwa vilaza manispaa ni ndani ya mipaka yote ya manispaa from Kingolwila to mzumbe e.t.c. No parties flags (Du udikteta unaanza polepole!!!!!)
 
kweli tanzania nchi ya ajabu duniani viongozi wake wote ni mambumbumbu,tutakaa zaidi ya miaka 100 ijayo bila changes zozote,badala ya kuleta maendeleo wao wanafikiria kupambana na vyama hawajui kuwa waliokipenda ccm enzi hizo ndio haohao wanakipenda chadema,shiiit zao
 
Naunga mkono hoja ya manispaa ya morogoro, unaweza kuweka bendera sehemu nyingi kama masokoni madukani na ofisi binafsi sio ofisi za serikali.

wamekwambia imekatazwa ndani ya manispaa na sio kwenye ofisi za manispaa. Ukiwa ccm hata macho yako yanakuwa likizo!
 
Napata picha moja tu kwamba CCM hawana tena legacy ya kuendelea kuwa madarakani Tanzania kwani legacy inatoka kwa watu na watu ndo wanatoa consent kwa dola sasa kama nchi nzima wananchi wanakupinga ni lazima ujue u have no more na utatawala kidikteta na si kidemokrasia kitu ambacho hata wao wanakitambua wazi kwamba hawana tena uhalali

Serikali hii imekosa baraka za uhalali wa kuwa madarakani kutoka kwa wenye mamlaka (the demos) na natabiri minyukano mikali zaidi kati ya wananchi dhidi ya serikali hii ya kidharimu
 
CHADEMA ni kama moto wa gas ambao kuuzima ni shughuli kweli. Magamba hammna tena mda kwani M4C ndo dawa yenu nyie na 2015 ni lazma tushirikiane wana CDM kuondoa CCM ambayo ni chama cha MAMBUMBUMBU lyc kobe mjamzito.
 
Ccm imekwisha. Inaogopa mpaka bendera za chadema?. Watanzania wameamka na wanataka uhuru wao kutoka kwa wakoloni weusi. Tumenyanyaswa,tumeibiwa,tumedhulumiwa,kiasi cha kutosha. Na sasa tunachukua nchi yetu toka kwa wezi na majambazi wakubwa CCM.
 
Kwa mtindo huu basi na wapige marufuku kuuza kitimoto ndani ya manispaa maana kuna watu hawatumii hiyo kitu. Pia wasisahau kupiga marufuku bar maana watu wengine hawatumii kilevi. The list goes on and on and on.....

Pia makanisa, misikiti yapigwe marufuku maana wengine ni WAPAGANI
 
Pia makanisa, misikiti yapigwe marufuku maana wengine ni WAPAGANI

Wasisahau kuzifungia na saluni za kunyoa nywele make sie wengine ni Marasta Faley sasa saluni kwetu za nini jamani?
 
Jackson Michael wao wanamaana mpaka nyumbani kwako ni eneo la serikali,maana mpaka huko sokoni wamekataza,Hawa jamaa ni waajabu sana ofisi zote za magamba yalikuwa maeneo ya wazi wakabadili matumizi kwa maguvu,viwanja vya michezo jamhuri Stadium ikiwemo wananchi wote walichangia leo kiwamja ni cha magamba,hayo hawayaoni wanaona bendera za chadema!

we waache tukichukua nchi tunataifisha vyote hamna cha ccm kirumba wala jengo la umoja wa vijana wanabatilisha mali za uma kuwa za chama kwa sababu wanajua wakiondolewa madarakani hivyo ndio vitakuwa vitega uchumi ******* sana magamba
 
HALMASHAURI YA MANISPAA MOROGORO​





Kumb.Na A30/MMC-237/vOL. II/19 Trehe:19 machi,2012

Makatibu wa Vyama vya Siasa (W)
Manispaa ya Morogoro

YAH: KUZUIA KUJENGA OFISI ZA VYAMA KATIKA MAENEO YA MASOKO,VIUNGA VYA BUSTANI ZA HALMASHAURI YA MANISPAA NA MAENEO MENGINE YANAYOMILIKIWA NA MANISPAA YA MOROGORO.

Naomba urejee kichwa cha habari hapo juu.

Kumezuka mtindo wa baadhi ya Vyama vya Siasa kupeperusha bendera au kujenga mawe ya msingi ya vyama katika maeneo yanayomilikiwa na Manispaa.napenda kuwafahamisha kuwa ni marufuku kwa chama chichote cha siasa kujenga jiwe la msingi la chama au kuweka bendera katika maeneo yote yanayomilikiwa na Manispaa yakiwemo masoko,viunga vya bustani au stendi za mabasi nk.

Hii ni kwasababau maeneo haya ni ya watu wote wakiwemo wanachama wa vyama vya siasa na wasio wanachama wa vyama hivyo.

hivyo kwa wale ambao wameweka bendear za vyama vyao katika maeneo hao nawaomba kuziondoa harka kabla ya tarehe 23/03/2012 vinginevyo Manispaa italzimika kuziondoa.Naomba hili lizingatiwe ili kusije kukatokea kutokuelewana kusiko kwa lazima.

Nawatakia kazi njema.
J.A . SIMBEYE
MKURUGENZI MANISPAA YA MOROGORO
​

NAKALA: Mkuu wa Wilaya
Morogoro

Mkuu wa Wilaya,
Morogoro

Watendaji wa kata wote,
Manispaa ya Morogoro - hakikisheni agizo hili linatekelezwa

Afisa Masoko
Manispaa ya Morogoro - Watangazieni wahusika

Wakuu nawakilishaa,nafuatilia majibu ya Katibu wangu wa wilaya na nitayaweka humu jamvini soon!
 
Mbona haiko kwenye headed paper au umeshindwa kuiscan na kuamua kuichapa upya?
 
Hii ni kwasababau maeneo haya ni ya watu wote wakiwemo wanachama wa vyama vya siasa na wasio wanachama wa vyama hivyo.
Duh.. hii ni dullest reason ambayo cijapata kuicikia.. Mbona kwenye kula keki ya taifa hamsemi kwamba ni rasilimali ya watanzania wote na sote tunastahili kula hiyo keki..?
 
Back
Top Bottom