tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
hii imekaaje ?? jana waziri mkuu anaruhusu uagizaji sukari toka nje huku walisema kuna stock ya kutosha, je stock ya kutosha kwa serikari hii ni ya takrbani miezi mitatu tu??
kwa staili hiii sio lazima aje profesa kwamba hatufiki popote watanzania kwa serikali hii ya kukurupuka.
Marufuku kupandisha bei ya sukari
mpaka raisi alikurupuka bila kufanya utafiti wa kutosha , nani amtumbue???
Rais Magufuli apiga marufuku kuingizwa sukari kugoka ng'ambo ya Tanzania - wavuti