Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 572
- 577
Ndege hii Fastjet kampuni ya kigeni ina marubani wa kigeni zaidi sijawahi ona wala sikia marubani watanzania nakuwaga makini sana nikiwa nasikiliza majina wao wanavyokaribisa na nikasema iko vipi hawa wageni hawatumii Watanzania kuwapa ajira?
Nikaambiwa sio kosa lao marubani wa kurusha airbus wako wachache sana Tanzania na kuwa train hawa wengine kurusha airbus from scratch inachukua mda na hitaji ni la sasa hivi, nikaelewa.Ninajisikia faraja na sifa nilivyopanda pipa kuona Marubani wote wawili weusi yaani Captain na First Officer. KEEP it up!
Marubani wa Kitanzania Kazeni huu ni mfano kwenu. Hawa jamaa Fastjet walikosa marubani warusha hizi airbus walivyokuja Tanzania ni faraja leo kuona inarushwa na Watanzania.<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=312245&stc=1" attachmentid="312245" alt="" id="vbattach_312245" class="previewthumb"> <br><br>Rubani William Zelothe na Rubani Abeid Mayoya.
Kwa kweli nilifurahi sana nilivyosikia Rubani anayeongoza ndege walivyotja majina yao ilibidi nidadisi maana nilikuwa naona majina yote ni ya Kitanzania..wakati natoka ndo nikawaona. Raha isiyo na Kifani vijana walinifurahisha.