Married woman and men only

Married woman and men only

Aiseee kuwa mke ni zaidi ya ajira!!
 
tatizo tukuwa hatatutaki kukonect kwenye 1 hub,,,,na binadamu tunazungukwa na mambo kibao.......ila ukiyaweza hayo hakika hutozeeka kabisa......tunaposhindwa ni kuwafanya wenza wetu a real really friend!!!! rafiki mkuu wa kweli,,, unaweza kufanikiwa ukawa kijana milele....
Cc Iceman 3D
 
Jamani sex everytime situtachokanaa by the way nimekupa like uzi umesimama. Ushauri mzuri hasa kwetu wanawake tumezidi kuwa na mashoga kila mtaa tuchuje marafiki wengine ni mbu wanataka kutunyonya damu.
 
Back
Top Bottom