Mimi nasema oa uliyemchagua so that you have urself to blame if it fail to work!
Hao watu muhimu in your life watakusema na ndoa ikiingia mashakani, ukijiuliza what went wrong?-unaanza kuwaza labda ni kwa sababu sikumsikiliza fulani na it gets all over complicated!
Nawaza, ndoa nyingi tulizo nazo ama zimepangwa au watu wamependana kiukweli. Kwa mfano watu wanamuona uliyempenda haja 'qualify' na wewe wakikulazimisha umuoe/uolewe na wanaomuona ka'qualify' wewe hujampenda (ila kwa vigezo vya kuingilia ndoani anavyo vyote).
-> Ndani ya ndoa na uliyempenda kila mkitoka watu wanawasema na saa nyingine kumuambia mmojawapo,'wewe hukumstahili yule/ndugu yetu'. Sasa, hii huleta stress ndani ya ndoa na saa nyingine kutoelewana. Mwishowe mjumlisho wa mikwaruzano ya mara kwa mara ikaweka ndoa mashakani...
->Ndoa ya kupangwa mikwaruzano huanza kwa ndani, hii nadhani wengi wanaielewa zaidi na mara nyingi huingia mashakani..
Sasa tujadili uzito wa kuwa na vigezo vya kuwa mme/mke kwa kuulinganisha na ule wa kupenda/kupendwa..
mikwaruzo ya kuanzia ndani kwa ulinganisho na ile ya kuanzia nje..
a) najua mtasema oa / olewa na umpendaye ila dunia hii haiko hivyo watu wengi (marafiki zangu wa karibu) wameachwa broken hearted na watu wakaenda oa/olewa na wenye vigezo (uwezo wa kipesa na busara za kulea familia).
b) okay mtasema usisikilize ya watu...ila kumbuka hawa si watu wa kawaida tu! ni viongozi wetu wa kiroho(kidini), ni wazazi waliotuona tunakua na wanajua vitu tunavyohitaji ni marafiki/ndugu wa karibu sana.
Nawasilisha na kufungua rasmi mjadala...

Petcash
I totally agree with what you wrote.........most of the time people end up with patners they were made to believe will make ideal wives/hubbies and not the women/ men they really want !! Which is such a waste if you ask me, maana in the long run wanaishia miserable and/or having extra marital relations with the hao hao walio wa mwaga if not their clones!😱hwell:
why do u have negative perception abt marriage? Kwanini usifikirie utafanya nn ili kuiboresha ndoa yako wewe unawaza ikifail itakuaje? Na kwanini uangalie zaidi wat other pple think of kuliko kuangalia ur heart? Ndio maana ndoa ckuhz hazidumu maana unajitahidi kuwaridhisha wanaokuzunguka kisa eti unahisi utajuta bdae.think positive and stop generalising things.