wa saa9 Member Joined Jul 1, 2016 Posts 23 Reaction score 5 Jul 3, 2016 #1 Natafuta gar aina ya markx grx120....ningependa kujua bei yake kuitoa japan had bongo na ushuru wake#...Kwa anayefaham tafadhal nijuze!
Natafuta gar aina ya markx grx120....ningependa kujua bei yake kuitoa japan had bongo na ushuru wake#...Kwa anayefaham tafadhal nijuze!
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,489 Reaction score 6,883 Jul 3, 2016 #2 wa saa9 said: Natafuta gar aina ya markx 110 ....ningependa kujua bei yake kuitoa japan had bongo na ushuru wake#...Kwa anayefaham tafadhal nijuze! Click to expand... Hiyo gari unayotaka haipo. Haijawahi kutokea labda siku za usoni huko...so kajipange uje tena
wa saa9 said: Natafuta gar aina ya markx 110 ....ningependa kujua bei yake kuitoa japan had bongo na ushuru wake#...Kwa anayefaham tafadhal nijuze! Click to expand... Hiyo gari unayotaka haipo. Haijawahi kutokea labda siku za usoni huko...so kajipange uje tena
Muyobhyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 8,149 Reaction score 6,551 Jul 3, 2016 #3 Nadhani alimaanisha mark x
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,489 Reaction score 6,883 Jul 3, 2016 #4 Akajasembamba- said: Nadhani alimaanisha mark x Click to expand... Sasa uone ni mbabaishaji, huwezi kuhitaji kitu kikubwa hicho hata jina usilijue
Akajasembamba- said: Nadhani alimaanisha mark x Click to expand... Sasa uone ni mbabaishaji, huwezi kuhitaji kitu kikubwa hicho hata jina usilijue
wa saa9 Member Joined Jul 1, 2016 Posts 23 Reaction score 5 Jul 3, 2016 Thread starter #5 Sory nmekosea 110 ken heading apo n markx