Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati ya kozi hizo.
Marketing kama una ma-confidence ya kutosha,public speaking and the like go ahead,
ila accounting is the best,it's everywhere,kila organization duniani needs accountants..

Eleza kwanza umehitimu fani ipi ndiposa ushauriwe. Upande wa accounting wala usiguse maana kinachotambuliwa ni CPA na siyo MBA Accounting; kama umegitimu degree ya Uhasibu hiyo Master inaweza kukusaidia kufaulu mitihani ya CPA

Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto
zaidi katika soko la ajira la sasa na hata
kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma
Masters in Busness Administration na kutaka
kufanya option kati ya kozi hizo.
Eleza kwanza umehitimu fani ipi ndiposa ushauriwe. Upande wa accounting wala usiguse maana kinachotambuliwa ni CPA na siyo MBA Accounting; kama umegitimu degree ya Uhasibu hiyo Master inaweza kukusaidia kufaulu mitihani ya CPA
Take marketing for sure cos itakusaidia analysis kama hivi marketing place ya huku ndani ni ngumu sana allot of competitors u need to do research btn MMU or Other majukwaa
Uwe na confidence / creative/ design/ kujipigia promo n.k
Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati ya kozi hizo.
Unapenda kufanya nini baadae ukiachana na profession.mfano huwezi kumwambia mtu ubuno pale akushauri upande gari gani bila kumwambia unataka kwenda wapi