Marketing Special offer kwa wafanyabiashara 19 tu

Apr 27, 2020
28
29
Je, wewe ni mfanyabiashara unayependa kuitangaza biashara yako na kuvutia wateja wako?

Je, unaweza kumuelezea mteja wako ndani ya sekunde 5 kuhusu biashara yako na akakuelewa bila maswali yoyote?

Je, unachukua hatua gani kujitofautisha na washindani wako? hasa online ambako wengi wanapost picha tu za bidhaa,bila kuongeza ubunifu wowote ule

It's not a secret, lazima uwe na utofauti kidogo na washindani wako, na uwe na kitu cha ziada ili uweze kuvutia wateja wengi zaidi kwako.

Katika sehemu 2 ambazo unaweza kuwekeza na kuleta utofauti, ni marketing and advertising.

Hapo ukitia nguvu za kutosha.. Lazima uone matokeo chanya, utapata wateja zaidi na kukuza brand yako.

KARIBU Chapdesigns TZ, tunawasaidia wafanyabiashara wa level zote ktk marketing and advertising ya biashara zao.

Tunatatua changamoto zao na kuwaelimisha vitu mbalimbali ambavyo wengi hawajui, lakini vina mchango mkubwa ktk kukuza biashara zao.

OFA YETU YA LEO inataka wafanyabiashara 19 TU, ambao tutawapa semina fupi kuhusu marketing, tutawadizainia poster/social media post.. Pamoja na kuwatangaza kwa sponsored ads ktk page yetu.

Gharama yake ni Tsh.10000/= tu,..tunapokea watu ndani ya masaa 24 basi.

TEXT WHATSAPP 0752226475 ili upate utaratibu na kuwekwa kwenye GROUP.

IMG_20200807_101253.jpg
IMG_20200807_095351.jpg
IMG_20200807_095308.jpg
IMG_20200807_095452.jpg
IMG_20200807_101219.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom