Kampuni ya Upscale Shop au sio? π π πTANGAZO:
KAMPUNI YA UPSCALE SHOP, ILIYOPO MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM, TUNATANGAZA NAFASI YA KAZI YA 'MARKETING OFFICER' KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MIKOCHENI KWA MWALIMU NYERERE, DAR ES SALAAM.
SIFA ZA MUOMBAJI:
JINSIA YA KIUME, UMRI NI KUANZIA MIAKA 20 MPAKA MIAKA 35.
AWE NA UZOEFU USIOPUNGUA MWAKA MMOJA KATIKA KAZI YA MARKETING OFFICER.
AWE NA UBUNIFU, USHAWISHI KWA WATEJA.
AWE NA UFAHAMU WA KUZUNGUMZA NA KUANDIKA KIUFASAHA LUGHA YA KIINGEREZA NA KISWAHILI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0623533676, AMA FIKA OFISINI MIKOCHENI KWA MWALIMU NYERERE, DAR ES SALAAM.
ππππππKampuni ya Upscale Shop au sio? π π π
Kampuni ya Upscale Shop au sio? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
π Inaonekana unafatilia neno kabla ya nenoKampuni ya Upscale Shop au sio? π π π
Muhimu sana mkuu π€£π Inaonekana unafatilia neno kabla ya neno
Ndio hivyo mkuu kivumbi leooo π€£π€£π€£[emoji38][emoji38][emoji38]
Nlikua sijaona hiyo
watoto hawa , upscale shop---- hata hawana sifa yoyote kwamba wanafanya nini, as if ni brand inayojulika Tanzania ..Kuna watu wataomba kazi...Kampuni ya Upscale Shop au sio? π π π
π€£π€£π€£π€£Ushachafua Hali ya hewaKampuni ya Upscale Shop au sio? π π π
Washafeli π€£watoto hawa , upscale shop---- hata hawana sifa yoyote kwamba wanafanya nini, as if ni brand inayojulika Tanzania ..Kuna watu wataomba kazi...
Asante sana kwa tangazo. Vijana wengi hawana ajira wakiona tangazo hili wataandika maombi ya kazi wengiTANGAZO: