mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,754
Sio kwamba Tanzania haina uwezo huo...
Lakin ubinafsi, ufisadi, sera mbovu ndo vinatufanya maskini hadi leo
Anagawa dozi, anachukua maeneo huku anajenga.
Nauliza tu, hivi zile Himar hazijaweza kukomboa maeneo Urusi aliyochukua?
Hapo ndio Ukraine waelewe kuwa Urusi hana mpango wa kuachia maeneo aliyoyakamata!WARUSI wameanza kikamilisha nyumba wanazojenga kwa ajili ya wakazi wa mji wa Mariupol. AFRCA TUKA KWAMA WAPI JAMANI
NYUMBA IZI HAZINA HATA MIEZI MI 4 TOKA ZIANZE KUJENGWA
Urusi nawaelewa sana... Kuliko wakubali hayo maeneo yarudi, ni heri robo tatu ya wakaazi wa dunia wafeNi ngumu sana kwa haya maeneo kurudi
Hawajalala wakaamkia vitani,wao wenyewe hawakuliona hilo?so analipia uharibifu?
Je maisha ya watu?
Akili Ndio hatuna, uwezi wekeza kwy kuzaaa ukawa na akiliSio kwamba Tanzania haina uwezo huo...
Lakin ubinafsi, ufisadi, sera mbovu ndo vinatufanya maskini hadi leo
Lazma baadhi wafe ili baadhi waishi vyemaPutin wanajeshi wake wanakufa kila siku yeye anawaza kupaka rangi majengo.
Kwahiyo unawaambiaje wale pro US wanaodhani urusi atapigwa vibaya sana mpaka Moscow?Hapo ndio Ukraine waelewe kuwa Urusi hana mpango wa kuachia maeneo aliyoyakamata!
Anagawa dozi, anachukua maeneo huku anajenga.
Nauliza tu, hivi zile Himar hazijaweza kukomboa maeneo Urusi aliyochukua?
Halafu ndiyo mnasema hawa ni masikini yaani mtu anapigana vita huku anatoa vyakula na madawa na bado anajenga miundombinu kweli Russia ni baba lao