Marital Status

Pole kwa yaliyokukuta amu

Kama ni wasapu tumia [HASHTAG]#available[/HASHTAG]

Fb [HASHTAG]#complicated[/HASHTAG]

Kazini [HASHTAG]#single[/HASHTAG]
 
Umemaliza kilichokuwepo kwenye akili yangu
 
Swali ambalo ningejiuliza, marital status ina-impact gani katika kazi mtu anayoomba? Nikiweka Married/Single/Divorced/Widow inasaidia nini katika kupata ajira na ufanisi wa kazi yangu hapo baadae?

CV nyingi siku hizi watu hawaandiki hizo mambo, hazina impact kwenye utendaji, labda kama kampuni inahitaji aina fulani ya watendaji based on the nature of job.
 
chige wewe ni hr?umejibu kiutaalam zaidi ahsante sana kwa huu mchango.na ili kuondoa mkanganyiko nafikiri hiki kipengele wengi tusikitumie
Mimi sio HR amu lakini ukiwa muuza maneno mjini hukosi kusikia wenye weledi wakiongea ongea mambo ya msingi!
 
dada sory ulifiwa? divorced?
No need to offense you
 
Kwa nini umesema afadhali?brian
Machungu ya kufiwa ndugu yanauma sana! Nayaelewa. To be divorced nako Kuna changanya sana sometimes hadi thaman yako kama Mwanamke inashuka. kama umetalikiwa.
nimesema hvo kushukuru kua hayo hayajakupata.
sorry Amu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…