Mtalaka ndio sahihi.
Unaficha nini? Kama mlioana na mkaishi kwa muda ina maana jamii ilifahamu kuwa ulioa au kuolewa,,,,,ya nini uweke single???
Suala la kuquestion kuhusu talaka lipo wazi, vipi ukisema single halafu upo katika mahusiano mapya na mwenza akajua ulimdanganya?? Bora kuwa wazi mapema.Katavi Hapa kuna sehemu 2,umeelezea moja na kuhusu mtalaka huoni kuwa wataquestion your behaviour socially, ujue kibongobongo kupeana talaka umri huo ina ukakasi na inaonyesha tabia mbaya
Am I missing something here?! Nilivyomwelewa amu sio kutaja status yako kwenye suala la mahusiano bali kwenye CV!!Suala la kuquestion kuhusu talaka lipo wazi, vipi ukisema single halafu upo katika mahusiano mapya na mwenza akajua ulimdanganya?? Bora kuwa wazi mapema.
Ukweli utakuweka huru siku zote.
Haiwezekani mtu akawa mjane then hapo hapo akawa divorced kwa wakati mmoja. kama alikufa ukiwa bado kwenye ndoa, andika mjane. kama mliachana kabla ya mauti kumkuta andika divorced.
Am I missing something here?! Nilivyomwelewa amu sio kutaja status yako kwenye suala la mahusiano bali kwenye CV!!
Halafu haya mambo ya ku-include vitu kama marital status kwenye cv ni old style na baadhi ya mataifa wanaachana na hayo mambo kwa sababu yanahesabika kama ubaguzi!
Kwa wengine hata kuandika gender inakuwa discouraged!
For instance, anahitajika Mhasibu!! Uanamke au uanaume wa mtu una uhusiano gani na uhasibu!!
Of all, jambo la kijinga kabisa ni marital status!
Ndiyo, s/he is married... so what?!
Na kama kuna HR anaye-pay attention kwenye marital status bila sababu za msingi; huyo HR kama ni mwanaume basi atakuwa ni kicheche tu!
Kama ilikua nindoa inayojulikana kabisa ,nivema uweke ,,lkn km nihizi za njoo tukae usiweke.
Lkn mmhhhh kwa mwanamke kusema tulitalakiana doohh nkm inatia wasiwasi kwa mtu utakayemwambia iyo kitu .
Kama vipi suala la kifo we kua wazi kimaandishi, ila haya mengine kuwa wazi kimdomo tu .
Absolutely Amu iyo inakufanya uonekane muadilifu zaidi ,kwa kufanya ivyo hata anayeipokea iyo CV kuna hisia fulani huanza kuzijenga moyon mwake nainamsaidia kujua nn unataka .. Kwaifo kwa habar ya kifo fanya ivo.yaani putin unammanisha cv kwa uu unattacha na cheti cha kifo na cha ndoa au?
okaynimetolea mfano wa two different scenarios
hii divorce hii hata mimi nina ukakakasi nayo i will definitely keep quietAbsolutely Amu iyo inakufanya uonekane muadilifu zaidi ,kwa kufanya ivyo hata anayeipokea iyo CV kuna hisia fulani huanza kuzijenga moyon mwake nainamsaidia kujua nn unataka .. Kwaifo kwa habar ya kifo fanya ivo.
Lkn habar za kuachana ,plz ,iyo uiseme kwa mdomo maana kuweka bithibitisho vya kuachana inamfanya anayeipokea iyo cv,kujiuliza mengi juu yako...ilikuaje?? Ni mkorofi?? Kwann jamaa akamuacha?? Shida nikwajamaa??au wewe?? Yaan hiii inakuaga na maswali mengi naalafu mpaka mnafikishana mahakaman aaaiiiii inaonyesha weee ni mwanamke wa aina unayetaka haki sawa, sasa kwa wanaume wakolon hii kitu nimbaya sana !!
Lkn ukiongea naye tu mdomo kwa mdomo aaahhh fresh tu Unajua habar za moyon nisharit uulize uso !!
au unaonaje???
Usifanye kosa lakutoweka CV iyo ikiwa mume/mke alifariki.very complicated jamani,najaribu kuwaza mimi hr yaani napokea cv na midudue yote hayo,haki nitaona unataka huruma n autansumbua ofisini kwangu,ni better kutokuandika tu au unaonaje putin?
hii divorce hii hata mimi nina ukakakasi nayo i will definitely keep quiet
Usifanye kosa lakutoweka CV iyo ikiwa mume/mke alifariki.
Ukweli nihuu mtu mwenye ndoa/aliyekua ndoan kifo kikamtenga Wanaonekanaga ni wanaheshima, waadilifu ,na watu wenye Madilo sana kuliko mtu bachela....
Ndio maana kuna nyumba hupangishwi km huna mume/mke ..huu ni mfano tu.
Sasa nimekuelewa........ Kwan iko kipengele sinachakujaza tu?? Km nikujaza andika Mjane ..km kinahitaji na cv weka hapo .
Ila usiachw iko kipengele wazi, kuna watu wanaajiri kwakuzingatia mambo haya
Uadilifu
Maadil mema
Kuna kitu muhimu unachotakiwa kukijua hapa