Kumbe amu we ni mjaneWanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it wise kwenye cv yako/wasifu wako kuandika widow/mjane au mghane au kuandika divorced/mtalaka.Hapo kumbuka wewe huna mahusiano mengine ila mbeleni InshaAllah pengine mambo yatakaa sawa.
Au ni vyema kuandika tu single.
Usiumize kichwa mkuu just put SINGLE si kafariki.chief ni error Na Sikurecheck Tittle ni ,marital
ila pia mada hujaelewa?
AmuWanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it wise kwenye cv yako/wasifu wako kuandika widow/mjane au mghane au kuandika divorced/mtalaka.Hapo kumbuka wewe huna mahusiano mengine ila mbeleni InshaAllah pengine mambo yatakaa sawa.
Au ni vyema kuandika tu single.
We ni divorced/widowed. Marital status has nothing to do with age. It's all about relationship background.
Ni spea ya meli ya mkoloniHuyo Maritas ni jina la mtu?
Wanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it wise kwenye cv yako/wasifu wako kuandika widow/mjane au mghane au kuandika divorced/mtalaka.Hapo kumbuka wewe huna mahusiano mengine ila mbeleni InshaAllah pengine mambo yatakaa sawa.
Au ni vyema kuandika tu single.
Ahsante Chige,mchango Mzuri sanaSwali la msingi ni kuna umuhimu gani kuandika your marital status!!
Hizi kitu kwenye CV kila kimoja kina impact yake! So, kama haikusaidii chochote kwenye kukuongezea chance ya kupata ajira, sioni sababu yoyote at that age kuandika divorced au widow!
Kwanza kama divorced, kwangu itakuwa ni red flag at that age especially kama nafasi yenyewe inahusu mahusiano/interaction na watu!
Picha ya kwanza nitakayopata ni ama you're difficult to deal with au una ile "sibabaishwi" fulani!
Mzee wa mgegedo embu fafanua