Marine Board na Wire Zote Toka China Naziuza JUMLA bei poa! Nitaftieni Wateja wa Mikoani.

Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Mzigo uliopo na Bei zake Jumla Jumla Tunaanzia PC 10.

Mosquito Gause wire (Wavu wa Mbu) 1 roll 4ft Urefu na 30m(Sio 25m ilivozoeleka) Upana kwa 43,000/=

String wire 1roll , 25m kwa 48,000

Chiken wire zip za 4ft na 6ft, coated na uncoated, bei ni kati ya 60,000 mpaka 75000.

Manikin wire 46,000

Mankin wire cotted kubwa 78000 na ndogo 75000.

Binding wire 43,000

Marine Board 12mil 48000 na 18mil 58000

QUALITY IS THE BEST!!!!!!!!!!! TBS kama kawaida.

Mzigo upo TEGETA NA SINZA.

Mawasiliano Lara 1, 0657776401 (KWA HII BIASHARA TU JAMANI)

Mnipe michongo ya Mikoani huko, Zambia, Tunduma, Malawi,. (Kama unamfahammtu ana hardware me tu namba yangu hiyo tufae biashara) Msiniangushe wana JF, naganga njaa tu hapa.

Karibu sanaaaaa!

Nakushauri ujue kwanza bei za competitors wako wengi

zipoje. Kama zipo chini yako jua utakula manyoya. Kama zipo juu cha kufanya ni wewe kuzunguka hardwares na kujimarket. Mfano ukienda pale maili moja kibaha ukachukua order then unakuja kuchukua mzigo unawapelekea. Mfano, pale maili moja kuna hardware nyingi sana kama za masawe, ngure, mwasha, ayo, na wakinga flani hivi. Sidhani kama watakuangusha.
NB.
Kumbuka kesho jtatu kkoo kuna mgomo wa wafanyabiashara, so chukua hyo fursa. Tafuta kijana afanye marketing njia ya tegeta na wew ufanye along morogoro road. Naamini by jtatu utakuwa ishapata order ya kukodi canter nzima.
All the best.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Thanks! Mimi nauza jumla jumla! Wateja ninao ninao hata kina mzee Msuya wa kibaha ni wateja wanu wazuri sanaa. Sema wateja hawatoshi!

Kwa Dar co niko sokoni mda, nafahamiana nao wegi, NATAKA WA MIKOANI WANAOAGIZA CONTENA ZIMA!!!!!!!!! WAZAMIA, WAMALAWI, Hivo yani, BIG BUSINESS.

Japo hata ODA NDOGO HAIKATALIWI! Hela ni hela!!!!!!!!!! Chezeya mchaga wewe.
 
Back
Top Bottom