Marie Stopes Mwenge-Kituo cha Kutolea Mimba kwa wanafunzi

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,196
Salam wanaJF,

Kuna hii hospitali ya Maria Stopes maeneo ya Mwenge kama ni mwanamke ukifika una matatizo ya tumbo unaambiwa kapime mkojo then majibu mimba hata kama haipo.

Nilimpeleka mdogo wangu wa kike kufika kaambiwa ana mimba na daktari akamuambia mdogo wangu kama yupo tayari tumpe kazi.

Hakika nilishtuka tukaamua kwenda AAR victoria wakakuta hana mimba sikuridhika tukaenda Agha khan akawa hana mimba, mmh ninajiuliza hapa hivi MARIE STOPES kimekuwa kijwe cha madaktari wahuni?
 
kichwa cha habari na habari haviendani. Tafakari upya na ulete ushahidi, nimewahi kusikia, kadiri ya kichwa cha habari, nikadhani umeleta ushahidi.
 
Maria stopers zote janga la taifa. Bila shaka kuchomoa vizygote ni moja ya vipaumbele vyao.
 
Angemwambia lala nikupime tumbo ndio ungejuwa ni wahuni au sio wanakudunga sindano ukilala wanakugegenda
 
Kudadeki, kama hii ni kweli, maadili ya kazi yao yamekwisha!
 
Salam wanaJF,

Kuna hii hospitali ya Maria Stopes maeneo ya Mwenge kama ni mwanamke ukifika una matatizo ya tumbo unaambiwa kapime mkojo then majibu mimba hata kama haipo.

Nilimpeleka mdogo wangu wa kike kufika kaambiwa ana mimba na daktari akamuambia mdogo wangu kama yupo tayari tumpe kazi.

Hakika nilishtuka tukaamua kwenda AAR victoria wakakuta hana mimba sikuridhika tukaenda Agha khan akawa hana mimba, mmh ninajiuliza hapa hivi MARIE STOPES kimekuwa kijwe cha madaktari wahuni?

Wawekewe mtego!
 
Ni kweli wanafunzi wengi huenda hapo na watiaji mimba si wanafunzi wenzao ni akina sisi.
 
Salam wanaJF,

Kuna hii hospitali ya Maria Stopes maeneo ya Mwenge kama ni mwanamke ukifika una matatizo ya tumbo unaambiwa kapime mkojo then majibu mimba hata kama haipo.

Nilimpeleka mdogo wangu wa kike kufika kaambiwa ana mimba na daktari akamuambia mdogo wangu kama yupo tayari tumpe kazi.

Hakika nilishtuka tukaamua kwenda AAR victoria wakakuta hana mimba sikuridhika tukaenda Agha khan akawa hana mimba, mmh ninajiuliza hapa hivi MARIE STOPES kimekuwa kijwe cha madaktari wahuni?

ungewawekea mtego halafu unawakamatisha wafungwe miaka 30 hawa ni wauwaji hakuna tofauti na wabakaji, sijui nchi hii kama wanasheria kali kuhusu utoaji mimba.
 
ukitaka kuona dunia chungu mwaga ugali na mboga ya mwenzio :tonguez:
 
Salam wanaJF,

Kuna hii hospitali ya Maria Stopes maeneo ya Mwenge kama ni mwanamke ukifika una matatizo ya tumbo unaambiwa kapime mkojo then majibu mimba hata kama haipo.

Nilimpeleka mdogo wangu wa kike kufika kaambiwa ana mimba na daktari akamuambia mdogo wangu kama yupo tayari tumpe kazi.

Hakika nilishtuka tukaamua kwenda AAR victoria wakakuta hana mimba sikuridhika tukaenda Agha khan akawa hana mimba, mmh ninajiuliza hapa hivi MARIE STOPES kimekuwa kijwe cha madaktari wahuni?

kumbe nyie hamjui. Marie stopes wanaajiri madaktari waliosomea kwenye vyuo vya kata ili wawalipe kiduchu. VODAFASTA DOCTORS sawasawa na wale wanaohitimu pale kwa kairuki
 
Heheheh na naskia kabla ya kutolewa mimba lazima mtoaji ale mzigo na wengi ni wakiume watowaji!sasa hapo ndhani jamaa alitaka alemzigo tu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii hospitali toka ilipoanza vipaumbele vyake ni utoaji mimba hii iko wazi na inajulikana toka mwanzo.Toka niliposikia habari zake na kuhakiki sina hata interest ya kutibiwa hapo kabisaa!
Then hiyo case ya kuambiwa umjamzto wakati huna ipo sana ktk hizi hospitali binafsi za mtaani tena sio mimba tu hata magonjwa megine
kwa sababu
zifuatazi;
-Madadtari wako kibiashara zaidi n
-Mshahara wake unategemea kilichopatikana kwa siku
-Anajua binti au mama anahaaha kuabiwa mjamzito so aondolewe mara moja
-Mashine zingine mbovu/utaalamu fake
 
Back
Top Bottom