Maria Sarungi - XSpaces

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
812
Reaction score
519


Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje?
Tunaona ukatili na utekaji usio na kifani nchini baada ya #OktobaTunatoka kushika kasi! Wanatuuzia woga! Sasa kama sababu tunayo, nia tunayo, uwezo tunayo - je tunatokaje?
Njoo tujadili saa 2 usiku leo!
 


🚨‼️CONFIRMED: THESE ARE VICTIMS OF #EnforcedDisappearances #Tanzania ‼️🚨
See below for context 👇🏾
I have received confirmation in my DM that the two young men were each taken by plain clothes men who identified as police
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights @AmnestyEARO @HRF @hrw @StateDRL @WorldBankAfrica @IMFAfrica
 
Inatisha, huyu Samia anataka nini?
 


UPDATES_KESI_YA_UHAINI 🚨 🔥Shuhudia Kaaya akifichuliwa na Lissu! Hajui lolote kuhusu uchaguzi bado anadai Lissu ana hatia? Video ya Jambo TV? Hakuna ushahidi kwamba alichapisha! Shahidi mpya Samwel Kaaya anaingia na "utaalamu wa picha," lakini atathibitisha nini baada ya mapumziko? Sheria ya Tanzania haivumilii upotoshaji! @HRW bbc @AlJazeeraWorld

#FreeTunduLissu #FREE_TANZANIA #FreePolepoleNow #SamiaMustGo 🇹🇿⚠️
 
Askofu Shoo : Tulipofikia kama Nchi sio pazuri, watu wanapotea lakini hakuna juhudi zozote kukomesha hii tabia, binafsi nimejitahidi kuongea sana viongozi kuhusu kilio cha watu kuhusu utekaji, ni dharau kwa Jeshi na mamlaka watu kuendelea kutekwa namna hii na ikaendeela tu
Nimeuliza hata baadhi ya viongozi, inawezekana vipi watu wakatekwa hivi na mmekaa kimya?

TOPIC : Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje?

LIVE TWITTER bit.ly/3JhpGb5
LIVE TIKTOK MARIASPACES bit.ly/48tEdux
LIVE YOUTUBE bit.ly/46USAa5

#Oktoba29Tunatoka #StopAbductionsTz
 
#Oktoba29Tunatoka #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania
 
Jana tarehe 20 October Maria spaces kupitia you tube ilikiwa haisikiki kabisa nadhani Wachina wanawasadia CCM kujammisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…