Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Wakati huo unakuna busha lako mubashara kabisa huku ukitafuna kashataHaya mambo yaishiage huko huko tu.huku kwetu yasije bhana...nishajizoelea mi ikifika jioni kama sasa hivi kwa raha zangu niko kijiwe cha kahawa najinywea mdo mdo,mambo ya mabomu tena yawe huko huko tu aisee