Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Kwa akili hizi kuna watu wanakutegemea?shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
Unanadi unajua sanna kumbe kichwani kuna maharageKwa akili hizi kuna watu wanakutegemea?
Hivi yale maputo ya china yalifunguliwa yakiwa anga ipi mnikumbushePentagon wamesema drone yao ilikuwa inaruka kwenye anga la kimataifa, Urusi wanafanya uchokozi wa kipumbavu na reckless kushambulia chombo chao.
Uko mpitimbi huko, unayajua hayo uliyoyaandika, ila watu wa Kremlin hawayajui? Uko serious kweli?shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
Sahihi kabisa. Ila Warusi wanataka kuiroa iliyoangukaWacha Uongo jamaa kaogopa
Kabadilisha Njia Kapita Mbali zaidi
Unapokuwa Shabiki Uwe na Ukweli
[emoji631][emoji3575][emoji635]US changed the flight routes of drones near the Crimea after the incident with the MQ-9 Reaper
Today, for the first time since the incident RQ-4 Global Hawk is flying near the peninsula, but the distance from the coast has increased significantly
View attachment 2555409View attachment 2555410
Ndio![emoji123][emoji106]Uko mpitimbi huko, unayajua hayo uliyoyaandika, ila watu wa Kremlin hawayajui? Uko serious kweli?
LGBTQ ikimuathiri mtu ni hatari sana!, usijaribu kushindana na hii kitu , imagine Dume zima kushawishiwa hadi linalegea , itakuwa kufanya upambe tu wa kijinga itawashindajeHiyo midege si haionekan na rada???
Sasa nyiny mnawezaje kuiona ikirandaranda huko kweusin bila kupata taarifa rasm toka pentagon wala urus
Wewe ni hasara kwa familia yakoshoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
Kwahiyo wewe uliyepo huko Itigi unajua mission ya hiyo Ndege kuliko hao waliyoidondosha?shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
Bashir ana nini sasa hivi????Wamemshindwa Bashir wasudan wamuweze Putin kwanza mara ya mwisho Putin kwenda UN lini??
Hayo maneno hata kwenye kanga yapo...Wewe ni hasara kwa familia yako
Wewe ni tatizo kwa ukoo wako
Wewe ni problem kwa Jamii yako
Wewe ni shida kwa wilaya yako
Wewe ni tatizo kwa mkoa wako
Wewe ni janga kwa taifa lako
Sasa ivi wataimwagia MkongoNgoja imwagiwe Tena wese!
We unajua ana nini?Bashir ana nini sasa hivi????
Bashiri mpka kaondolewa na watu wake lakini hakuna nchi iliyomkamata sio africa wala ulayaBashir ana nini sasa hivi????
Hana faida wala hasara Kumtunza arhumu mtarajiwa kwa gharama ya nani??Bashiri mpka kaondolewa na watu wake lakini hakuna nchi iliyomkamata sio africa wala ulaya